Warning: Undefined array key "userID" in /home/u733561284/domains/fademo.co.tz/public_html/functions/database_functions.php on line 70
FADEMO COMPANY

MBINU ZA KULEA WATOTO KIMILIONEA


Je, una watoto na ungependa wasiwe maskini maishani mwao? Je, wewe ni mzazi unayewapenda watoto wako wa kike au wa kiume na ungependa watoto wako wasiwe na maisha duni yenye ukosefu wa pesa na mahitaji muhimu? Kama jibu lako ni ndiyo, na unawapenda watoto wako; hakika utawapa urithi ambao utawafanya waendelee kuishi maisha yao kwa raha mstarehe wakiwa mamilionea kwa miaka yao yote watakayoishi duniani hata kama wewe hutakuwepo tena duniani.

Details

ISBN ISBN 9789987979738
Author Venerando J Milinga
book_pdf MBINU ZA KULEA WATOTO text (1) 2024 Juni.pdf
Price 10000
publisher_name Venerando J Milinga
created_at 2024-06-18 11:57:24