Warning: Undefined array key "userID" in /home/u733561284/domains/fademo.co.tz/public_html/functions/database_functions.php on line 70
FADEMO COMPANY

NJIA ZA KUPATA FEDHA NYINGI


Kitabu hiki kinaeleza orodha ya mawazo au miradi 65 ambayo ukiitekeleza hakika unaondoka kwenye ukurasa wa watu fukara na maskini milele. Kitabu kinataja kwa mifano hai na kwa mchanganuo unaoelewaka. Miradi sahihi na makini ambayo ina mifano na mahesabu rahisi kueleweka imefafanuliwa kwa upana. Ukisoma kitabu hiki utataka uwe unakirudia mara kwa mara kukisoma kwani Hakichoshi kusoma.

Details

ISBN ISBN 9789987979714
Author Venerando J Milinga
book_pdf MBINU ZA KUPATA FEDHA NYINGI - Final 2024.pdf
Price 10000
publisher_name Venerando J Milinga
created_at 2024-06-18 11:39:46